PLAYSTORE ni moja ya app ambayo inakuwezesha kudownload app mbalimbali
za simu ikiwemo whatsapp na nyingine nyingi, sasa kuna wakati mtu
anapoflsh au anapofanya reset ya simu huwa inapotea. Kuna njia nyingi sana
za kuirudisha APP hii ila leo nitaelekeza moja ambayo nnauhakika
itatatua tatzo lako kwa kutumia hatua hizi rahisi utaweza kuirudisha
APP yako ya PLAYSTORE kama zamani.
HATUA
1. nenda kwenyye setting
2. tafuta neno security
3. weka tick kwenye "all installation from unkown sources
4.sasa tumia browser yoyote ikiwemo operamin, au google chrome au yoyote
unayotumia kuingia internet, na aandika http://www.apkmirror.com kisha search neno PLAYSTORE
5.utaona inakuja hapo na itakuonesha option ya kudownload, idownload
6.ukishadownload nenda kwenye file manager then kwenye download utaikuta hoiiyo apk uliyodonload
7.iclick na ubonyeze install , then next hapo utakuwa umemaliza
0 comments:
Post a Comment