FUATA HATUA ZIFUATAZO.
1.Fungua SETTING
ya smartphone yako
2.Bonyeza DATA USAGE
NB:. kwa brand ya Tecno DATA
USAGE utaiona baada ya kufungua tu setting lakini kwa brand ya Huawei
Utabonyeza setting kisha bonyeza MORE utaiona data usage
3.Bonyeza
vidoti vitatu vinavyoonekan upande wa
kulia wa simu yako juu
4.Kisha
bonyeza RESTRICT
MOBILE BKGD. DATA
5.Kisha
bonyeza OK
Hapo simu yako itakua nyepesi wakati
wa kuperuzi au wakati wa matumizi mengine
ASANTE.
0 comments:
Post a Comment